
Fancy Home Decor ina design na kuuza mashuka mazuri na quality. Haya ni baadhi tu ya mashuka tuliyokwisha kuyatengeneza na ambayo yapo tayari kwa kuuzwa. Zinapatikana katika size zote ...ni material ya cotton na inakuwa ni seti ya shuka 2 na foronya 4. Karibu mdau ujipatie seti yako ubadilishe muone…