
Hii ni kazi ya Fancy Home Decor* Ilikuwa ni Project ya bomba za mapazia kwa madirisha 19 ya nyumba site ya Tabata Kinyerezi.......nili design na kufunga double Curtain rods, poles & holdbacks kwa madirisha ya sebuleni, dining, kitchen, 3 bedrooms, Study room,corridor,store & toilets/bathrooms, etc …