
My Happy Customer....Thank you... Bathroom Corner shelf....
My Happy Customer....Thank you... Bathroom Corner shelf....
Picha za bomba za mapazia baada ya kizifunga kwa mteja wangu Kimara...hapa ni sebuleni. It was a project of double curtain rods, poles &...
Asanteh kwa kuipenda kazi yangu mteja wangu...Thanx God.
Bathroom corner shelf...ina sehemu special ya kuwekea miswaki na dawa za mswaki Hanger ya mataulo...ina sehemu 3 za ku hang mataulo......
2 Puff ...Orange and Green...After repaired and changing covers Hapa tayari ikiwa kwa mteja...sebuleni...ime match na mitungi niliyo del...
#FancyHomeDecorProject...Hii ilikuwa ni ya mitungi mitatu....miwili ya Orange na mmoja wa Yellow. Mtungi mmoja wa #Orange wenye maua tuliuwe...
Fancy Home Decor* tulibadilisha muonekano wa sebule kwa kubadilisha #foronya kubwa za mito pamoja na kitambaa cha Seat za kukalia za masofa....