
Mitungi hii ni kazi yangu....Fancy Home Decor*Ni mitungi mitano(5) ya rangi tofauti ikiwa pamoja na decoration zake zenye rangi tofauti pia......mitungi 2 ya Orange, Yellow 2 & Red 1.Mtungi mmoja wa yellow na wa Orange nliweka kwenye TV wall......Mtungi wa red nkaweka dinning room..... Mtungi mwingi…