
Hii ni kazi yangu....Fancy Home Decor.Tulibandika wallpaper ya design hii jikoni napia kwenye entrance ya kuingia bathroom/ toilet.....kwa mteja wangu Mbezi Malamba mawili. Ukiiangalia haraka haraka unaweza kufikiri ni tiles au mawe flani hivi!..... Kumbe ni wallpaper flani hivi Amazing!Jikoni tulib…