Jamani, Lounging on a blanket in the grass might sounds great lakini hivii ukilala hapa mkavu mkavu itakwajeh.....si unaweza kung'atwa na wadudu jamani au!!....lol

Duh, hii nayo kali!....jamani hiki nacho ni kitanda cha majani. sio shuka hilo ni majani hayoo...They call it cushioned grass bed for an afternoon naps or picnics.
Unaweza kulala hapa mchana, for you afternoon nap....kwa wale mabonge wenzangu sizani kama hiki kitawafaaa...hahaaaa

Angalau hichi kinaweza kuwafaaa.......have a nice nap!

Beautiful hanging day-bed

Suspended Outdoor Lounger, nice decor!!


Outdoor day bed  with colorful shade makers....nazani hapa ukitoa hayo mapazia panaweza kugeuzwa pakawa kama jukwaa flani hiviii...lol

 
Top