FancyHomeDecor ilipokea oda ya ku design grills za madirisha na mlango kutoka kwa mdau wa Masaki, ambapo nilitakiwa kuziondoa grills za zamani, ku design na kuweka nyingine za kisasa zaidi...

Design ya Grills tuliyoiweka...


BEFORE ilikuwa hivi....

Tulianza na kuondoa grills za zamani...


Hapa grills za zamani zikiwa tayari zimeshaondolewa...


Ndo tukaweka na kuchapia grill mpya...grills zilipakwa kwanza Red oxide, ndo hiyo nyekundu inayoonekana!

Then tukaipaka rangi nyeusi...AFTER

.....muonekano wake baada ya kumaliza kufunga grill....bado zoezi la kupaka rangi ukuta lilifwata baadae


Bado naendelea kupokea oda za ku design grills za milango na madirisha...ikiwa ungehitaji huduma hii usisite kuwasiliana nami kwa namba: +255 0712 023102

Karibuni sana...
 
Top