Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kunifanikisha Project hii...vilienda kwa wadau tofauti. Mbarikiwe sana wadau!!


Bathroom/ Toilet mirror...delivered kwa mdau wa Kijitonyama.


Bathroom Corner shelf...delivered kwa mdau wa Sinza. 

Corner shelf ikiwa Sebuleni / Dining room....
Kabati la nguo...designed and delivered kwa mdau wa Goba. 

Tunaendelea kupokea oda kwa designs hizi na nyingine yoyote unayoitaka...
To place your order Call: 0712 023102
 
Top