Namshkuru Mungu kwa kunipa project hii niliyoifanya na kuikamilisha Kwa #mteja wangu #Mbezi, wiki iliyopita...
Ilikuwa ni BEFORE & AFTER #Interior makeover project...ya ku #design na kupaka #RANGI sebuleni, dining, corridor, stairway & jikoni.......Kuweka #MAPAZIA mapya na bomba za pazia(Curtains & Curtain rods).......Kumtengenezea #MAKOCHI mapya - L shape #SOFA design of 9 seaters......#mitungi mitano ya kuweka sebuleni, dinning na corridor.....Puff 4....#pots 2.......#picha za ukutani.......3 in 1 #stools........2 table centre piece decors.......pamoja na decorations nyingine.

Hizi zote nitazi post kwa awamu!..... kama njia mojawapo ya wote kujifunza na kupata ideas mpya kuhusu rangi na Interior decor....na pia... as a testimony of my work and projects that I do to my clients and which I can do to you as well!

Kwaiyo kwasasa nimeanza ku post kwanza hii ya #rangi niliyoifanya.......tuone jinsi muonekano wa nyumba unavoweza kubadilika gafla endapo ukidhamiria kui decorate nyumba yako kwa kutuita sisi Fancy Home Decor kukuhudumia.....na kwa msaada wangu mimi kama Interior designer and decorator!...kama vile alivyofanya mteja wangu huyu alivyoniita nikaenda na ku offer service hii ambayo hata yeye aliifurahia sana!!

Ok.....Basically.... nilitumia rangi 4 tu......Yellow, grey, green & broken white. 
Combination ya rangi ya #Yellow & #grey nilipaka kwa sebule na dinning tu......ambapo rangi ya Yellow niliiweka kwenye ukuta mmoja tu wa TV (TV wall) sebuleni, na kuta nyingine zote zilizobaki za sebule na dinning room nikapaka rangi ya #gray.......sikutaka kuchanganya sana rangi nyingi sehemu hizi....simplicity is the rule....kwaiyo nkachagua rangi 2 tu zikae sebuleni na dinning....and yellow & gray was the best color combination in trendy!
Ok.....Kwenye corridor na stairway nilichagua na kupaka rangi ya #green ile iliyopoa......
Jikoni nkamalizia kwa kupaka rangi ya broken white kwenye kuta zote 4.......mteja wangu alikuwa hajaweka #tiles, kwaiyo tukabadilisha ile rangi iliyokuwepo Before na kumpakia hii nyingine ya kulifanya jiko liwe more bright.

BEFORE mteja alikuwa amepaka rangi  moja tu ya cream kote... sebuleni, dinning, corridor,stairways & jikoni, etc...AFTER nilipoibadilisha na kumpakia rangi hizi tofauti kwa ku design na kuchanganya zikae tofauti sebuleni, dinning room, corridor na jikoni, kama inavoonekana kwenye picha, nyumba ilionekana kuchangamka na kupendeza mnoo! Kiukweli ukichanganya rangi tofauti tofauti kwenye nyumba...muonekano unakuwa mzuri zaidi na pia nyumba hauichoki haraka....muhimu tu kuzingatia ni aina gani ya rangi unazochagua kuchanganya......ziwe zinashahabiana na kuendana.... na pia zisiwe nyingi sana.....atleast not more than 4 colors! 
Kwa msaada zaidi wa kiushauri unaweza kutupigia.....nitakusaidia ku select the best colors....na kukupakia pia!

Just Call +255 0712 023102 
We offer best Interior designing service for homes, offices, etc...
Karibu.


Kindly follow us @ Instagram @ fancyhomedecor

#Fancy HomeDecor Project
#BEFORE & #AFTER
#Paint
#Color
#Decoration
#InteriorDesigning


Hapa ni muonekano wa sebule na dinning....BEFORE & AFTER....rangi ya Yellow ni hiyo niliipaka kwenye TV wall....na rangi ya gray kwenye hizo kuta nyingine zilizobakia za sebuleni na dinning....Nice color combination!
BEFORE & AFTER.....reflection ya rangi ya yellow & gray sebuleni na rangi ya green kwenye corridor......Tunaona arrangement ya furnitures pia ikiwa imebadilika...nilibadilisha arrangement ya kabati la TV cabinet lililokuwa limekaa kwenye corner nikaliweka sawa likae hapo ilipo saivi km inavoonekana....alafu nikaweka Mitungi miwili ya Orange & Yellow iliyokaa kulia na kushoto.....ili kuleta muonekano mzuri na combination nzuri  ya rangi ya ku match nahiyo rangi ya Yellow niliyoipaka ukutani.
BEFORE & AFTER.....Hapa tunaona arrangement ya furnitures ikiwa imebadilika... AFTER ya kumaliza kupaka rangi nikaona si vyema kabati lirudi kwenye corner kama lilivyokuwa zamani....na pia isingependeza nilirudishie kochi la zamani lililokuwa limekaa kwenye ukuta wa TV....Kwahiyo nikaliondoa kochi hilo la zamani lililokuwa imekaa kwenye huo ukuta wa TV kwa upande wa kulia.....alafu nikabadilisha arrangement ya TV cabinet iliyokuwa imekaa kwenye corner tukaiweka sawa ikae hapo ilipo saivi km inavoonekana....mwisho kabisa nkaongezea kwa kuiweka Mitungi miwili ya Orange & Yellow iliyokaa kulia na kushoto.....ili kuleta muonekano mzuri na combination nzuri  ya rangi ya ku match nahiyo rangi ya Yellow niliyoipaka ukutani. Rangi ya Yellow niliipaka kwenye ukuta wa TV tu....na ndo hapo tulipoliweka kabati la TV.
AFTER paint decoration and arrangement......na baada ya kuweka mitungi, ukutani nikabandika picha yenye rangi zinazoendana na rangi ya Yellow na Gray niliyopaka ukutani...na rangi ya mitungi.....alafu nkaongezea na 3 in 1 stools in black!...pamoja na red pot iliyokaa kwenye shelf ya mbao ukutani.
Hapo ni dinning room....rangi ya gray ilipakwa....alafu tukaweka picha ya ukutani, mtungi wa Red & mapazia mapya....
Hii ni Corridor.....nili decorate kwa rangi ya green....
Hapa ni kwenye ngazi za kupandia gorofa ya juu....BEFORE & AFTER....kuta zake nili decorate pia kwa rangi ya green.....alafu nikaondoa vase ya maua ya zamani iliyokuwa imekaa kwenye corner na kubadilisha na kuweka mtungi mpya wa Yellow....
.....a closer view
.....a more closer view!
Hapa ni jikoni...BEFORE & AFTER...rangi tulipaka  broken white....BEFORE ukuta ulikuwa umechafuka na kuharibika kidogo...AFTER ya ku renovate na ku decorate kwa rangi mpya jiko likaonekana vizuri na kupendeza!
Happy customer....

......Asanteh mteja wangu kwa kuniamini na kunipa kazi....nashkuru pia kuwa mliipenda na kuifurahia mnooo! 
Thanx alot for choosing me.......Thanx for choosing Fancy Home Decor......Thanx for working with us!
God bless you.

0 comments:

Post a Comment

 
Top