MY PROJECT - FANCY HOME DECOR: CURTAIN POLES & CURTAIN HOLDBACKS DESIGNING!!LOCATION: TEGETA - MIDIZINI.Nilipata kazi ya ku design Curtain poles /rails pamoja na Curtain holdbacks kwa madirisha ya nyumba ya mteja wangu mmoja maeneo ya Midizini. Tulifunga sebuleni, dining room, kitchen, master bedroom pamoja na vyumba vya watoto...kwenye uchaguzi wa design nikamshauri na aka…