Weka oda yako sasa!! @ Fancy Home Decor
Contacts: +255 0712 023102
![]() |
Mteja wangu alichagua kitanda cha design hii hapaa.... |
| Kazi ya kukifunga kitanda hichi ilianza hiviiii... Kitanda kiliwekwa chaga za mbao... |
![]() |
| Hapa kikiwa tayari kimeshawekwa godoro na kutandikwa mashuka mazuri pamoja na neti... |
![]() |
| Mteja wangu pia alitengeneza na kile kiti chake kidogo... |
Dear visitor, ikiwa ungependa kutengenezewa kitanda cha design hii au design nyingine yoyote uliyonayo basi usisite kunipigia kwa namba zangu nlizoziweka hapo juu...
karibuni!






0 comments:
Post a Comment