![]() |
Design ya Grills tuliyoiweka... |
BEFORE ilikuwa hivi....
![]() |
Tulianza na kuondoa grills za zamani... |
![]() |
Hapa grills za zamani zikiwa tayari zimeshaondolewa... |
![]() |
Ndo tukaweka na kuchapia grill mpya...grills zilipakwa kwanza Red oxide, ndo hiyo nyekundu inayoonekana! |
![]() |
Then tukaipaka rangi nyeusi... |
AFTER
![]() | ||
.....muonekano wake baada ya kumaliza kufunga grill....bado zoezi la kupaka rangi ukuta lilifwata baadae |
Bado naendelea kupokea oda za ku design grills za milango na madirisha...ikiwa ungehitaji huduma hii usisite kuwasiliana nami kwa namba: +255 0712 023102
Karibuni sana...
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.