Namshkuru Mungu kwa kuniwezesha kunifanikisha Project hii...vilienda kwa wadau tofauti. Mbarikiwe sana wadau!!
![]() |
Bathroom/ Toilet mirror...delivered kwa mdau wa Kijitonyama. |
![]() |
Bathroom Corner shelf...delivered kwa mdau wa Sinza. |
![]() | |||
Corner shelf ikiwa Sebuleni / Dining room.... |
![]() |
Kabati la nguo...designed and delivered kwa mdau wa Goba. |
Tunaendelea kupokea oda kwa designs hizi na nyingine yoyote unayoitaka...
To place your order Call: 0712 023102
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.