Latest News

FancyHomeDecor ilitengeneza na ku deliver 6 seaters Dining table, Stand ya mapochi, Floor magazine rack, Candle holder & kitchen shelf...pia nilifunga na Curtain holdbacks kwa madirisha ya sebuleni...

Karibuni wote kuweka oda...

Call: 0712 023102


6 seaters dining table - Imetengenezwa kwa miguu ya chuma, top ya mbao ya Mninga na chini kioo.







Design ya meza bila muonekano wa viti ni hii...


Candle holder 

Stand ya kuwekea mapochi / handbags

Floor magazine rack.

Kitchen shelf...






Asanteh sana mdau wa Kimara...ubarikiwe sana

0 comments:

Post a Comment

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top