Latest News

You Know You're In America When...You Know You're In America When...

...you seemailboxes with little flagsAmerican robinsyellow school buseslight switch on the lamp, not the cordwasher & dryer that can do a week's worth of clothes in two loadsfree drink refillsa proper glass of iced teapellet icetax not included in original pricecars on the road that are not in good …

Read more »
28Apr2014

MY PROJECT: TV SHOW CASE AND A METAL-WOOD COFFEE TABLE...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO OUR CLIENT AT KIMARA.  MY PROJECT: TV SHOW CASE AND A METAL-WOOD COFFEE TABLE...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO OUR CLIENT AT KIMARA.

Hii ni kazi ya Fancy Home Decor...nili design coffee table ya chuma na mbao ya mkongo, pamoja na TV show case yenye sehemu za kuwekea speaker, picha,vases za maua etc...Karibuni kuweka oda...  Call: +255 0712 023102  TV show case & Coffee table yenye stuli zake 2 za pembeni... TV show case....Ina …

Read more »
24Apr2014

HAPPY EASTER MY PEOPLE....HAPPY EASTER MY PEOPLE....

Read more »
20Apr2014

TOWEL RACK DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MWANZA...KARIBUNI KUWEKA ODA TOWEL RACK DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MWANZA...KARIBUNI KUWEKA ODA

Fancy Home Decor pia inapokea oda kutoka mikoa mbalimbali ndani ya Tanzania...na hata nje ya nchi!Hii hapa ni stand ya mataulo, nilii design na kuisafirisha mkoani - Mwanza. Karibuni mlioko mikoani na hata nje ya nchi...weka oda yako na tutakusafirishia na kufika salama.For more info please call +25…

Read more »
18Apr2014

BATHROOM SHELF DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...KARIBU KUWEKA ODA BATHROOM SHELF DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...KARIBU KUWEKA ODA

Inapatikana kwa oda...Price: 120,000/= For more info please Call: +255 0712 023102Design nyingine ya shelf ya bafuni....kila kitu amepanga kimetoshelezea na inapendeza Beautiful... …

Read more »
17Apr2014

A 2-in-1 SHOE RACK - HANDBAG DESIGN...PLUS A KITCHEN STAND, ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MIKOCHENI...A 2-in-1 SHOE RACK - HANDBAG DESIGN...PLUS A KITCHEN STAND, ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MIKOCHENI...

 All available by order at a reasonable price...Call us now: +255 0712 023102Hii ni stand ya kupanga viatu  kwa chini na mapochi kwa juu...Its a 2-in-1 design. Faida yake inasaidia kukupunguzia garama wewe badala ya kutengeneza ya viatu pekeyake na ya mapochi pekeyake, unatengeneza moja unaweka viat…

Read more »
17Apr2014

MY PROJECT AT MASAKI: BATHROOM SHELF AND A TOILET PAPER HOLDER...MY PROJECT AT MASAKI: BATHROOM SHELF AND A TOILET PAPER HOLDER...

All these were designed by Fancy Home Decor and delivered to my client at Masaki...Available by order...and at a reasonable priceCall us now +255 0712 023102Hii ni shelf ya bafuni/toilet...hapa amepanga mishumaa, soap dish, Dawa za chooni kwa juu...etc.Price: 100,000/= Toilet paper holder...Price…

Read more »
16Apr2014

MY PROJECT: TOWEL STAND AND A CORNER SHELF...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT KIMARAMY PROJECT: TOWEL STAND AND A CORNER SHELF...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT KIMARA

Available by order and at a reasonable price...Please call: +255 0712 023102Faida na uzuri wa hii shelf  inayofungwa ukutani ina "save space"! Hapa imefungwa kwenye kona bafuni.Price: 120,000/= Stand ya mataulo...Price: 180,000/= …

Read more »
16Apr2014

A BATHROOM CORNER SHELF IN WHITE...DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT KIVULINI...A BATHROOM CORNER SHELF IN WHITE...DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT KIVULINI...

Its all in white...Price: 130,000/= Available by order...Please call: +255 0712 023102Everything is well organized... Inavoonekana kabla vitu havijapangwa... …

Read more »
16Apr2014

MY PROJECT: BATHROOM WHITE SHELF, MIRROR AND TOILET PAPER HOLDER..DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MBEZIMY PROJECT: BATHROOM WHITE SHELF, MIRROR AND TOILET PAPER HOLDER..DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT MBEZI

At Fancy Home Decor(TZ) all things are possible...To order please call/ WhatsApp 0712 023102A beautiful white bathroom mirror...Price: 120,000/= A white bathroom shelf...Price: 110,000/= A toilet paper holder...Price: 45,000/= …

Read more »
16Apr2014

BATHROOM CORNER SHELF.... DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA... BATHROOM CORNER SHELF.... DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...

Karibu kuweka oda...Price: 120,000/= To order please call: 0712 023102hapa kila kitu kimepangwa na kinaonekana vizuri...mataulo yamekunjwa na kupangwa kwa juu ili kuyafikia kwa urahisi...kwa chini zimepangwa dawa za chooni, JIK, facials, shampoos, sabuni, etc...yaani kila kitu kipo organized! …

Read more »
16Apr2014

BATHROOM CORNER SHELF DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA... BATHROOM CORNER SHELF DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT SINZA...

Inapatikana kwa oda...Price: 120,000/= For more info and to place your order please call: 0712 023102Kama mnavyoona wapendwa, mteja wangu amejaza na imependeza...facials, shower gels, shampoos, sabuni za kufulia,miswaki etc etc...vitu ninakuwa organized and easy to reach! …

Read more »
16Apr2014

MY PROJECT: BATHROOM CORNER SHELF, MIRRORS & TOILET PAPER HOLDERS..ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT @TEGETA MY PROJECT: BATHROOM CORNER SHELF, MIRRORS & TOILET PAPER HOLDERS..ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT @TEGETA

Fancy Home Decor ilipokea oda ya ku design shelf ya bafuni yenye sehemu maalumu ya kuwekea miswaki, dawa za miswaki... sabuni,dawa za chooni,shampoo etc etc etc...Pia nili deliver na kufunga vioo viwili vya bafuni pamoja na toilet paper holders...Vyote vinapatikana kwa bei nzuri na nafuu...wahi sasa…

Read more »
16Apr2014

METAL BED DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT TABATA...KARIBUNI KUWEKA ODA METAL BED DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT TABATA...KARIBUNI KUWEKA ODA

Tunapokea oda na za vitanda vyenye bomba za neti kama mnavyoona hapo chini....Na ukiangalia kwenye madirisha pia utaona bomba za kushikia pazia...Curtain Poles, rods & Holdbacks...hizo pia zilifungwa na Fancy Home Decor.....ni moja ya kazi zangu.Vyote vinapatikana kwa oda na kwa bei nzuri na nafuu..…

Read more »
16Apr2014

BOTANICALS ON YOUR WALL ( AND ANSWERS TO DECORATING QUESTIONS)BOTANICALS ON YOUR WALL ( AND ANSWERS TO DECORATING QUESTIONS)

I love the current design trend all about nature and natural history.Read more »…

Read more »
12Apr2014

MY PROJECT: BEMBEA YENYE VITI VINNE VYENYE CUSHIONS ZAKE..DELIVERED KWA MTEJA KIMARA...KARIBUNI KUWEKA ODA!# MY PROJECT: BEMBEA YENYE VITI VINNE VYENYE CUSHIONS ZAKE..DELIVERED KWA MTEJA KIMARA...KARIBUNI KUWEKA ODA!#

Bembea hii ni kazi ya Fancy Home Decor...ina viti vinne vyenye cushions zake...designed and made as per my customer request.Fancy Home Decor inapokea oda za kutengeneza bembea kwa design yoyote, katika rangi zozote unazotaka na kwa garama nafuu.Kuweka oda please Call or WhatsApp # 0712 023102Karibun…

Read more »
07Apr2014

MY PROJECT: CORNER SHELF AND A KITCHEN STAND...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT BAHARI BEACH...KARIBU KUWEKA ODA YAKOMY PROJECT: CORNER SHELF AND A KITCHEN STAND...ALL DESIGNED AND DELIVERED TO MY CLIENT AT BAHARI BEACH...KARIBU KUWEKA ODA YAKO

Thanks to my client who ordered these shelf and kitchen stand from me...Hii stand ya jikoni ya kijani nliyoitengeneza unaweza kuweka nazi,viazi,vitunguu,ndizi etc etc etc... To order yours please call or WhatsApp # 0712 023102A beautiful Corner shelf...hapa imekaa sebuleni kwenye kona, unaweza kuwek…

Read more »
07Apr2014
123 ... 224»
 
Top