Fancy Home Decor pia inapokea oda kutoka mikoa mbalimbali ndani ya Tanzania...na hata nje ya nchi!
Hii hapa ni stand ya mataulo, nilii design na kuisafirisha mkoani - Mwanza.
Karibuni mlioko mikoani na hata nje ya nchi...weka oda yako na tutakusafirishia na kufika salama.
For more info please call +255 0712 023102
![]() |
Hii ni Stand ya kuwekea mataulo...unaweza kuiweka bafuni, chumbani, Laundry room ..etc Price: 180,000/= |
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.