MY PROJECT: INTERIOR PAINTS DECORATION, CURTAIN RODS, POLES AND HOLDBACKS, SHOE RACK, KITCHEN STAND...SITE YA PUGUNilifanya project hii ya ku decorate rangi za ndani kwenye nyumba ya mteja Pugu.....Pia tulifunga bomba za pazia vyumba vyote.....pamoja na kumtengenezea stand ya viatu na stand ya jikoni ya kuwekea vitunguu, nazi, mabilinganya, viazi, ndizi etc.......Nili provide consultation service...nikafanya co…