Hii ni moja ya kazi zangu za "Interior Decoration" nimewahi kufanya...

Hichi ni chumba cha Baby boy, kwahiyo nili paint rangi zinazoendana na gender ya mtoto. Nikaweka na wallpaper ya kitoto zaidi ukutani aina ya Bambi...

Color used: Ripple green, Baby blue & Wild Lilac 
Colors: Wild Lilac & Baby blue


Beautiful view...

For Interior decoration services please contact us: 0712 023102

Karibuni...

 
Top